Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
13.JE MBUNI ANAWEZA KUFUGWA?
Mbuni ndege ambae kwa sasa ameanza kufugwa katika maeneo mengi duniani kwani watu binafsi pamoja na serikali nyingi duniani zimeanzisha mashamba kwa ajili ya kuwafuga mbuni.
Hii imepekea Shirika la Umoja wa Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Asili - The International Union for Conservation of Nature (IUCN) kuondoa kundi la ndege aina ya mbuni katika LISTI NYEKUNDU (IUCN RED LIST) ya viumbe walio katika hatari ya kutoweka duniani. Kwani kwa sasa mbuni ni wengi sana duniani.