Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Itabidi ku💨💨💨 😁😁😁Lakini pia anaponyatia kitu huwa anajituliza sana, kuanzia moyoni mpaka mazingira aliyopo, hivyo kama una kitu chochote kinachoweza toa mlio mkali kama wa baruti ni njia ya kumkimbiza.