Hata gold crest hujafika?kamanga je?kha ulikua mwanza ya wapi bae wa uzi?Shua skendo hazikwepeki
Kuhusu sanamuni sikuwahi kufika bro naona tu kwa picha
Aaah wee chekelea tu spurs akizinduka utashangaa mwenyewe maumivu yakeHeheheh hatari sana, me niko poa na vipigo nimezoea sasa cha ajabu nafasi yangu hakuna anaenishusha
Weeeh hapo Kamanga napajua safari ya Sengerema kwenda Geita 24/12/18Hata gold crest hujafika?kamanga je?kha ulikua mwanza ya wapi bae wa uzi?
Hapo ndo nashangaa ulifikaje kamanga bila kuoneshwa lisamaki penda daah wenyeji walikukatilia sanaWeeeh hapo Kamanga napajua safari ya Sengerema kwenda Geita 24/12/18
Nyie rukeni weeeeeee mwisho wa siku niachieni ubingwa wanguAaah wee chekelea tu spurs akizinduka utashangaa mwenyewe maumivu yake
mzee wa liver davet anakuchokoza hukuNyie rukeni weeeeeee mwisho wa siku niachieni ubingwa wangu