Za kutwa ni nzuri kabisaSalama kabsa binti mrembo,binti mwenye rangi yake ya thao...
Habari ya uzima?
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
Wakati wa kwenda hapana ilikua kero sanaaa maana wasukuma walijazana sana kwenye kivuko naona kwasababu ya sikukuu ila wakati narudi ndio nilienjoy sanaHahahahaa ulipovuka maji ulifaidi upepo mwanana ee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.Wakati wa kwenda hapana ilikua kero sanaaa maana wasukuma walijazana sana kwenye kivuko naona kwasababu ya sikukuu ila wakati narudi ndio nilienjoy sana
Huku kwema mzee mwenzangu,Mungu anasaidia mambo yanaenda...
Karbu tena bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu utaiona hii,,ndio tumeshazeeka sisi [emoji23][emoji23][emoji23]Vijana mna mambo eti mzee mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kona ya bwiru hujaiona?Wenyeji wangu nao swaga nyingi tatizo, ona sasa sijamuona samaki mtema maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu huko mtazeekaje kabla ya kupanda mahindi mkavuna korosho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu utaiona hii,,ndio tumeshazeeka sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Maamuzi magumu kama mie ningechagua waishi tu kila mmoja ataonja mautiWameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]remote imevalishwa cover [emoji23][emoji23] aisee nmecheka sanaZa kutwa ni nzuri kabisa
Baasi si nikaenda mtembelea jiran ake carbamazepine nikakuta kairemba rimoti yake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijataja kabila jamanView attachment 1009608
Kina nani walijazana kwenye kivuko??[emoji101][emoji101]Wakati wa kwenda hapana ilikua kero sanaaa maana wasukuma walijazana sana kwenye kivuko naona kwasababu ya sikukuu ila wakati narudi ndio nilienjoy sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]remote imevalishwa cover [emoji23][emoji23] aisee nmecheka sana
Numbisa unatutafutia iginolist ww [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya remote wallah kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akina broKina nani walijazana kwenye kivuko??[emoji101][emoji101]
Sijasikia vizuri bro
Busisi pako poa sana,,hata mazingira tu yapo vizuri,,,unaenjoy safari fresh kabsa,,,huku kamanga ni jam + vile vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.
Wakati narudi nilipita huko Busisi 01 jan 19, hakika ni mbali sana na mji japo nilienyoy sana kuona watu wamevaa nguo sare sare pia kuna sehemu nilipita kabla ya kufika Nyegezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.
Hii lazima aliiona,,,ngoja usikieHata kona ya bwiru hujaiona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anavyojikausha sasaHii lazima aliiona,,,ngoja usikie
Hahahah hapo sikupaona japo nilisikia wenyeji wakipatamka sanaHata kona ya bwiru hujaiona?