Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati narudi nilipita huko Busisi 01 jan 19, hakika ni mbali sana na mji japo nilienyoy sana kuona watu wamevaa nguo sare sare pia kuna sehemu nilipita kabla ya kufika Nyegezi

Hahahah wacha nicheke tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu huko na wewe eti nguo sare sare. Hio sehemu itakua ni buhongwa au mkolani maana zipo jiran na nyegez na ndio kuna nyomi la watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hajataja kina bro bhana,,kataja jina jingine hivi,,kasema sijui kina nani walikuwa wamejaa kwenye kivuko,,,neno bro sijaliona hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unachokitafuta mie simoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…