Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Za kutwa ni nzuri kabisa
Baasi si nikaenda mtembelea jiran ake carbamazepine nikakuta kairemba rimoti yake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijataja kabila jamanView attachment 1009608
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi nimekosa maneno ya kusema
Wasukuma ai kenti yuu[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati narudi nilipita huko Busisi 01 jan 19, hakika ni mbali sana na mji japo nilienyoy sana kuona watu wamevaa nguo sare sare pia kuna sehemu nilipita kabla ya kufika Nyegezi

Hahahah wacha nicheke tu
Hizo saresare ni vitenge?
Au vitambaa vile vya rangi ya kijan ama orange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daveeettt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…