myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliNacho Monreal
Asilimia kubwa ya washika bunduki waliamini kuwa, Nacho Monreal, aliyesajiliwa mwaka 2013, ingekuwa bonge la usajili. Walimtegemea kuziba pengo la muda mrefu katika safu ya beki ya kushoto. Hata hivyo, hakuwa na jipya kivile.
Afadhali..Pierre-Emerick Aubameyang
Huyu ndio baba yao. Usajili wake, kutoka Borussia Dortmund uliogharimu pauni 56 milioni, uliweka na unashikilia rekodi katika historia ya Arsenal. Mpaka sasa Aubameyang, amefunga mabao 26, katika michezo 41 yakiwemo 15 ya Ligi Kuu England na ndiye staa anayeibeba Arsenal kwa sasa kwenye kufunga mabao.
[emoji23][emoji23]Khantwe njoo usome hii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1010816
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ni fayaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106][emoji106][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1010898
Mkao wa kula...
Hahahahaha kujiwahi muhimu
Aiseee ushapata visingizio daahSiyo kweli kabisa Bro! Hiyo TV ya Gamboshi unayoangalizia inakupa vitu fake! Naapa kuendelea kuwa MGUMU kama chuma ili Mama yangu aendelee kula vinono; siyo anaogea sabuni ya Tshs 200 kama alivyosema Numbisa aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]