Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaweza kuwa hz picha ndio zmemtoa kwenye chama bro wetu cole?
Bro yule ameteseka sana katika uzi huu. Amepitia kunyang'anywa mke humu tena mchana kweupe njemba zikaondoka na mai waifu wake laivu. Inafurahisha kuona kuwa hatimaye amepata tulizo la moyo wake. I am very happy for him [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…