Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitoka kule unatema mate njia nzima utadhani umekanyaga kinyesi... Ujinga ule Mungu atusamehe tu
Mlikuwa mnakwenda kujitibu kwa wale akina mama? Nakumbuka vijana kijijini walikuwa wanachemsha jungu kubwa la mitishamba halafu linaachwa nje hapo tu. Ukiona kesho yake mtu anakuja kufakamia basi unajua kuwa amewatembelea akina mama na hali siyo nzuri. Maisha ya hatari sana yale ....
 
Na hii heat iko huku nje ni guarantee behind closed door watu wako na vest na short pekee na madem wako na bra na panties pekee.. Unless kama unaishi kwa wenyewe mahali huna freedom of expression [emoji57]
 
Bila basi kupoteza wakti mabibi na mabwana,tungependa kuchukua fursa hii kuwakaribisha kunako show yenu pendwa,show ya midfielder bora DUNIANI kwa sasa(kama hutaki sina namna ya kukusaidia),show ya PAAAAAAUUULLL PPOOGGBAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…