myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Iwe siku ya amani na utulivu
Safii
HatariiBARCELONA kijasho kinawatoka kwa sasa wakiwaza itakuwaje kuhusu staa wao, Lionel Messi kama atakosa nusu fainali ya kwanza ya Copa del Rey itakayopigwa Nou Camp, kesho Jumatano.