Duh aiseee majanga. Hako ka binti kadogo kabisa nako kanataka mabadiliko dunia yashilagaKawa mweusi tiiiii...Melanin poppin' [emoji16][emoji16][emoji16]
Binadamu hatuwezekani. Hapa ninapokaa kuna mama ana kabinti kana miaka kama 14 hivi. Sasa siku za hivi karibuni nilikaona kameanza kubadilika sana nikawa nashangaa. Nimekuja kugundua kumbe kameamua kuwa kavulana. Kalikuwa na vimatiti vimeisha, sauti imeanza kubadilika na mwonekano wa kichekibobu kabisa. Mwezi wa tisa wanakwenda kufumua konokono na kuweka saksafoni - operesheni mojawapo ghali na tata kabisa. Sasa mtu unabaki unajiuliza why? Jibu unalopewa na mzazi ni kwamba I want my daughter to be happy. Basi mtu unatikisa kichwa tu na kuyaacha kama yalivyo...Binadamu !!!
Duh!!Diogo Jota alipiga hat-trick kuwapa Wolves pointi zote tatu. Kitendo hicho kinamfanya Jota kuwa mchezaji wa kwanza wa Wolves kufunga mabao matatu kwenye mechi moja ya ligi tangu mwaka 1977.
Poa ninge,mzima?Mambo vp Ester??
Jamani. Hii kali aisee. Misambwanda iwe vivutio vya utalii...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi mzima kabsa,uwe na usiku mwema huko ulikoPoa ninge,mzima?
Haha Uganda huko broJamani. Hii kali aisee. Misambwanda iwe vivutio vya utalii...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli yashilaga. Sasa hata huko shuleni utakuta kinataka kutumia choo cha wavulana. Kuna mzozo mkubwa katika jambo hili la vyoo huko mashuleni. Imebidi katika mashule mengi kuwa na vyoo vya kike, kiume na genderless. Ni shida...Duh aiseee majanga. Hako ka binti kadogo kabisa nako kanataka mabadiliko dunia yashilaga
Mimi nitakwenda kutalii [emoji16][emoji16][emoji16]Haha Uganda huko bro
Khaa only in ulaya duh eti vyoo vya genderless jaman. Sasa kana konokono kataendaje vyoo vya kiume kamfyuuu zakeKweli yashilaga. Sasa hata huko shuleni utakuta kinataka kutumia choo cha wavulana. Kuna mzozo mkubwa katika jambo hili la vyoo huko mashuleni. Imebidi katika mashule mengi kuwa na vyoo vya kike, kiume na genderless. Ni shida...
Shida hasa ipo kwa wavulana wanaojibadilisha kuwa wasichana na bado hawajafanya operesheni ya kuondoa mijulubeng. Nao wanataka watumie vyoo vya wasichana mpaka huko high school. Wazazi hawataki kabisa kwa sababu wanaamini kuwa mabinti wanaweza kuishia kubakwa na hawa wasichana koko. Kesi zimerindima katika majimbo mengi kila upande ukipambana. Hawa koko wanalalamika kuwa wanaonewa na kubaguliwa na wengine nao wanadai kuwa haki yao ya kuwa na faragha inavunjwa ali mradi vurugu tupu...Khaa only in ulaya duh eti vyoo vya genderless jaman. Sasa kana konokono kataendaje vyoo vya kiume kamfyuuu zake
Hili jibu ndio nilikuwa nalisubiria bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Mimi nitakwenda kutalii [emoji16][emoji16][emoji16]