Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante sana Bro thou kwetu haikuwa kipigo ilkua ni somo/funzo.

Ni vizuri TECNO yako bado ina uwezo wa kutunza kumbukumbu.
Unajua kuwa ulitandaza mkeka? iPhone yangu napata au sipati? [emoji16][emoji16][emoji16]

Ni kweli. Kipigo hicho bila shaka kitawaamsha na kuacha kulewa sifa za Ole Gunner na makorokocho mengine...Back to the drawing board ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…