Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi kile ni kweli nilikuwa nimefichwa nikipambana kufa na kupona kupigania heshima ya ukoo. Nashukuru kuwa nililitimiza jukumu hilo kwa amani. Misambwanda hii sijui itanifikisha wapi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Pole na Hongera pia kwa kufanikisha kulinda vema heshima ya ukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuwa ulitandaza mkeka? iPhone yangu napata au sipati? [emoji16][emoji16][emoji16]

Ni kweli. Kipigo hicho bila shaka kitawaamsha na kuacha kulewa sifa za Ole Gunner na makorokocho mengine...Back to the drawing board ...
Nitajitahidi kabla ya mwaka huu kuisha, utapata iPhone yako.

OLE ana jitahidi sana ni vile squad haifikii viwango kumpa ushindi UCL.

WACHA TUWEKE TUMAINI KWA USAJILI KABLA DIRISHA KUFUNGWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…