Hahaha ni kweli kabsa ankooHuu uzi usipokuwepo wiki tu ukiulizwa swali usijibu kwa haraka, rudi nyuma ujisomee komenti zilizo pita [emoji1][emoji1][emoji1]
HahahahYan ukisema uwaze kila analoongea jiran ni sawa na kuchosha akili[emoji23][emoji23][emoji23]jiran ana mafumbo huyu basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumfunga Yanga Goli Nyingi Ni Kama Kula mali ya Yatima[emoji2912][emoji2912]
1-0 inatosha
Wewe hutamani poti? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nadhani unatamani ungekuwa huo ubao hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaNadhani unatamani ungekuwa huo ubao hapo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hutamani poti? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Vitu ambavyo ni vigumu kuhama ni DINI,KABILA,Ushabiki wa team
Kabila halihamiki. Vingine vyote hivyo vinahamika tena kirahisi tu [emoji16][emoji16][emoji16]Vitu ambavyo ni vigumu kuhama ni DINI,KABILA,Ushabiki wa team