Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

South Sudan, nchi ya juzi lakini imeanza kuwabana vijana wake! [emoji6][emoji6]

Cambridge student 'detained in hellhole'
Huyu mwanaharakati naye amateur huyu. Wangeweza hata kum-Jamal Khashoggi. Ukiwa mwanaharakati tena uko ughaibuni kuamua kurudi tu hivi hivi ni risky sana. Jihesabu uko uhamishoni tu na inabidi angalau uvumilie mpaka huyo unayepambana naye ameondoka madarakani. Kufanya vinginevyo ni kujitoa mhanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…