Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante Fragaria nmewaelewa vizuri sana

Mbarikiwe kwa kunipa chakula cha ubongo siku ya leo.
 
Sawasawa jirani
 
....[emoji16][emoji16]Ndiyo maana kwa sasa wadada wengi wanalazimisha kuzimwa taa kabla hawajavua pichu zao.
Tunauziwa Mbuzi kwenye gunia.
SYB changia neno hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. Hii kesi si yangu hii....[emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi nina michezo yangu nichezayo na msambwanda. Msambwanda kwangu ni kama ibada fulani hivi ya kuburudisha nafsi, kuchangamsha akili na kusisimua urazini. Kimbembe ni pale nitakapousotea msambwanda halafu siku ya siku nikute flati skirini maweeee !!! Hatutaelewana aiseee. Mimi siwezi kuingia gharama za kwenda Gold Crest nikitegemea msambwanda wa uhakika halafu uniletee vindimu. Noo wei indeed wallahi mane lavusi mi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Thanks Prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ruge anatukanika mitandaoni jamani hadi si vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana ni mtu anayependa dhuluma dhuluma sana au anasingiziwa? Maisha haya we acha tu...

Nakusalimia japo kwa shingo upande kwa sababu hutabiriki. Badala ya kujibu salamu unaweza kuja na picha ya "kutudhalilisha" wanakanda..Kiongozi wa Timu Roho Mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nina kihoma homa cha uwongo na kweli kinajaribu kunisilowisha dauni lakini napambana nacho kwa kutumia kila aina ya silaha. Nakaribia kukishinda. Huko kwako vipi? Mabinti weupe warefu wa Kinyiramba wanasemaje?
Aisee pole sana bro,ni tumaini kuwa hizo silaha ulizonazo zitapambana kadri ya uwezo wake na zishinde pambana hilo,,hope iwe hvyo.

Huku kwema bro,mabinti wa Kinyiramba wapo,wamejaa tele ni magunia ya vitunguu na alizeti pekee ndio yanayohitajika huku,ukiwa na mabinti hawa hauhitaji umeme wa Tanesco,kwan Tanesco wakifanya yao,hawa mabinti ni mwanga tosha chumban[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…