Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#namiminatakakuonasiksipakizinafananaje#[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Woooiiiiiiiii

carbamazepine kamu this way

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125] nisijesuntwa mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man United alishinda msimu uliopita kwenye mechi ya raundi ya pili, wakati Liverpool imeshinda msimu huu kwenye raundi ya kwanza. Sasa, kesho Jumapili vigogo hao wenye upinzani mkali watamalizana kwa kucheza mechi yao ya pili kwenye ligi msimu huu.
 
Kipute kitapigwa huko Old Trafford, uwanja ambao Liverpool hajawahi kushinda kwenye ligi tangu Machi 2014. Hiyo kesho patachimbika. Mechi hiyo ya marudiano, Liverpool itakwenda kuikabili Man United yenye kocha mpya kabisa, si yule iliyempiga 3-1 kwenye mechi ya kwanza, Jose Mourinho.
 
Mchezo huo wa kesho unatazamiwa kuwa na mvuto wa kipekee hasa ukizingatia Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer ni mfuasi wa soka la kushambulia tofauti na mtangulizi wake, Mourinho aliyejipatia umaarufu kwa kupaki basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…