Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
Empire ushoga umeharibu sana! Ilkua poa sana kushinda hata POWER!!

Jamaa pia ni actor mzuri. Sijui kama in real life ni shoga pia.
 
Empire ushoga umeharibu sana! Ilkua poa sana kushinda hata POWER!!

Jamaa pia ni actor mzuri. Sijui kama in real life ni shoga pia.
Ndiyo. In real life pia ni shoga. Ndiyo ishu nzima iko hapo. Amewalipa jamaa wawili wakamfinya kidogo akaanza kudai kuwa amefanyiwa hate crime kwa vile ni shoga tena mweusi. Kumbe lengo ni kuongezewa mshahara kwenye show. Sasa imeback fire kafukuzwa mazima.
 
Lishoga hili ndiyo lilinikatia stimu ya kuiangalia hii show kwa sababu scenes za kishoga zilizidi halafu bado linaleta drama eti kudraw attention ili liwe femazi na hivyo kuongezewa mshiko. Afadhali wameliondoa...
Nilianza zichukia zile sinema za kihispania sababu ya mashoga daah walikua wanaboa wale balaa. Hio empire hata sijawah iona duh ushoga kila kona
 
Nilianza zichukia zile sinema za kihispania sababu ya mashoga daah walikua wanaboa wale balaa. Hio empire hata sijawah iona duh ushoga kila kona
Ushoga ni ajenda inayosukumwa kwa nguvu zote. Trump pamoja na kuwakomalia mashoga hapa kwake bado ametoa mwongozo kuwa atakomaa na nchi zote zitakazowanyanyapaa. Hata sijui what is so special kuhusu ushoga kwa kweli. Yaani hapa ukitaka career yako ife kosea tu useme kitu kibaya kuwahusu...
 
Duuh aiseee lile shimo sijui lina madini gani mpaka walindwe hivyo shuaiin zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…