myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safi mkuu.nilikua mbali..
Safiiii
Tanzania yetu[emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri sana,
Credit ingine kwa msemaji wa UNITED JF!!
Nitaacha kushabikia United tukishuka daraja Tu!! Otherwise, the UNITED thing is within my VEINS!!!
Na mke wa mtu ndiye chambo 😀😀😀
Hahahahahah aiseeeNimepona.
Carba alikua anashauri dawa ya kakichwa na sio kichwa 😀😀😀
Nimecheza mpira kwa miaka 12,niliachana nao baada ya kuvunjika mguu, nikabaki na ushabiki na mapenzi tu. Ushabiki ukakoma baada ya Man U na Yanga kuanza kufungwa hovyo,na mimi nina hasira sana, nikaona nikae pembeni tu.
Namshukuru Numbisa kwa taarifa anazoziweka humu, lasivyo sijui hata kama ningekuwa nawajua wachezaji
Vizuri sana,
Credit ingine kwa msemaji wa UNITED JF!!
Nitaacha kushabikia United tukishuka daraja Tu!! Otherwise, the UNITED thing is within my VEINS!!!