Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo,,
Hali tuliyofikia kwa hv sasa inatisha,mihemko ya kimtandao inakuja na matukio mengi sana ya ajabu ajabu,,ukisoma huo uzi unabaki unastaajabu ni kweli kuwa aliyeandika huu uzi ni mwenyee akil zake timamu??au hali ngum za kiuchum imepelekea yote haya

Ni kumuomba Mungu,atunusuru na balaa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…