.Mm hii kali.. jeneresheni ya utandawazi hii..wanasoma vitu kwenye mitandao wanaiga tu.. maisha magumu wanaona solusheni ni kumkashifu Muumba badala ya kufanya juhudi za kujikomboa na umasikini..
Something needs to be done..
Ni mnyama muoga sana ķwa watu hasa kwenye mapori ya akiba ambapo mara nyingine huwindwa na watalii.Huyu tu sijawahi muona laivu..wapo wapo wanaonekana saa ngapi?
Hii sikuwahi kuifikiria,,anyways inaweza kuwa ina ukweli ndani yakeHii timu ilipata laana mzee, kuna mchezaji wao kitambo walikua wanamuita Mungu, basi hii laana inawatafuna mpaka kesho
salama kabisa ndugu, vp wewe?
Ngoja tuone mbio zao msimu huu zitaishia wapi...... Kwahiyo unaamini safari yao ya ligi ya mabingwa itaenda kuishia Alianz arena?Hii sikuwahi kuifikiria,,anyways inaweza kuwa ina ukweli ndani yake
Beautiful
🤣🤣🤣🤣 Plane food! ka sticker kao ka kubandika kwenye siti hakatoshi!
Ndio,Alianz Arena ndio mwsho wao,japo Klopp anapajua vizuri pale lkn kwa game hz za hv karbun walivyocheza,safar yao imewadiaNgoja tuone mbio zao msimu huu zitaishia wapi...... Kwahiyo unaamini safari yao ya ligi ya mabingwa itaenda kuishia Alianz arena?