Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Followers 77 awesome JF


Sababu ya kupunguza ligi ni hawa followers khaa ndo najikuta namsunta follower wangu akhu ligi tupa kuleeeeeee
Hongera Esta. You deserve it. Kwenye mpira uko. Vichekesho zile nyuzi zako zinafanya vizuri sana. Kwenye ubuyu ndo usiseme....na kwingineko. Halafu anonimazi foreva hakuna drama za malavidavi...Uko vizuri mno...

Mimi nami napaswa kuwa folowa wako pia (kama bado). Rolo modo lazima nikufolo aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahah kwa hyo sasa hivi umepumzika kwenye ligi eeh
Weweeeee!

Huyu Esta wa sasa na Esta yule wa zamani wakikutana, they will shoot at each other. Wa zamani ulikuwa unamkuta anapambana na ligi hata tatu horizontally na zote anazimudu. Halafu hachati na mtu...Fulu fokasi kwenye ligi na likes na alikuwa haangalii makunyanzi - mwanauzi si mwanauzi ukijilengesha unakula mikwenzi ya uhakika halafu anaendelea kula likes tu as if nothing happened...wakati wewe huku unaugulia maumivu. Ndiyo maana nilipambana kufa na kupona angalau nipate kumtia jichoni pale Gold Crest. Angekuwa huyu wa sasa huyu unafikiri ningehangaika basi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Hahahaha wabheja broo
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe huyu sasa yupo simple sana??bro ulitakiwa kwenda nae mdogo mdogo ungefanikisha kumtia machon pale Gold Crest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…