capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nilitaka kujiona mtu mmoja mbaya sana hapa! Nashukuru imeonekana ni moja ya njia ya maisha na wote tunapitia.Hawajuani?
Hayo ni mapito lazima upitie bro. Ukiruka hii steji itakuja kukupa matatizo huko mbele bro. Kila mmoja wetu amepita huko. Life is a journey [emoji16][emoji16][emoji16]
Cole unanifurahisha sana!
Anyway mazingira na namna naendesha mahusiano yangu na wanawake hawa watatu inabaki kua siri yangu,
Hii hua haipangwi inakuja Auto Bro.
Under sixteen unakutwa na hatia Bro,Hakuna neno bro. Hata kama unasapoti ni haki yako kabisa. Uhuru (usio na mipaka)
Ishu hii na ile ya ushoga ukijaribu kuziangalia kwenye angle nyingine unaweza kujikuta unahukumiwa mapema sana na jamii.
Huko kwako consenting age kwa mabinti kisheria ni miaka mingapi?
Ofu kozi nakutakia mema bro. Tena hapo mwishoni mwishoni ndipo napaombea sana. Nahisi kama vile una mwelekeo huo na ikitokea ukaitwa itikia wito na usifanye moyo wako mgumu kisa uko bize unatapanya mbegu. Mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Dah! Nmecheka sana.
BTW nimeelewa point ako!! Naamini unanitakia mema kupitia message hii.
Me nishashindwa Bro, nasubiri wa kunituliza ashuke!!
Steji unayopitia ni ya muhimu sana. Nakuombea tu uivuke salama [emoji16][emoji16][emoji16]Nilitaka kujiona mtu mmoja mbaya sana hapa! Nashukuru imeonekana ni moja ya njia ya maisha na wote tunapitia.
Ofcoz hawajuani Bro, ulidhani na conduct srisamu???
Nilitaka kujiona mtu mmoja mbaya sana hapa! Nashukuru imeonekana ni moja ya njia ya maisha na wote tunapitia.
Ofcoz hawajuani Bro, ulidhani na conduct srisamu???
Huku kwa Trump ni 18. Vinginevyo mvua kibao na hata ukibahatika kutoka inabidi ujiandikishe kama sexual predator na ukitaka kusafiri inabidi utoe ripoti polisi wajue ili wawajulishe unakoenda kuwa pedofaili linawajia huko. Na ukifika huko unakokwenda inabidi uripoti. Na kama umeshawahi kuleta matatizo zaidi basi inakubidi uvae anklet yenye GPS mguuni 24/7 ili wajue uliko 24/7 pia.Under sixteen unakutwa na hatia Bro,
Tuzo hakuna ila kuna kuvunja rekodi kama ya Mfalme Suleiman [emoji16][emoji16][emoji16]Hapana usijisikie vibaya nafikiri lengo la kujengana kimawazo chanya ni kuifanya Dunia kuwa sehemu salama pia, Mimi nitaona ni bora zaidi kama kati ya wote hao watatu kila mmoja wao umekuwa muwazi kwake
ili kutokuumiza hisia zake
Pia hakunaga tuzo ambayo imetokea ya mtu ambaye amekuwa na wanawake wengi
Dah! Bro unataka majibu kwani ama unakazia??Hahahaha
Nakubali na kuelewa tofauti zetu bro ila ninachowaza labda unakuwa na mmoja then baada ya muda mnashindwana una move on na mwingine au unakuwa nao wote watatu at the same time
Dah! Bro unataka majibu kwani ama unakazia??
Tuzo hakuna ila kuna kuvunja rekodi kama ya Mfalme Suleiman [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana usijisikie vibaya nafikiri lengo la kujengana kimawazo chanya ni kuifanya Dunia kuwa sehemu salama pia, Mimi nitaona ni bora zaidi kama kati ya wote hao watatu kila mmoja wao umekuwa muwazi kwake
ili kutokuumiza hisia zake
Pia hakunaga tuzo ambayo imetokea ya mtu ambaye amekuwa na wanawake wengi
Ha hahAmna usijali bro
Hahahahaha ila sio vizuri mixer wote wa3 unawaambia nitakuoa kila mmoja uwe unawaweka wazi
Uzi huu ni kama kokoro bro. Na ma pedophile wamo humu. Aaargh !!![emoji36][emoji36][emoji36]
Cole najuaga mgumuu ,, mzee wa nzito!! afu kumbe mlaiiiini kiasi hiki Dah!!
I feel You Bro, ila siwezi kuwaambia, naanzaje??
Tunaishi kulingana na mazingira, mwenyewe natamani kuwa na proper relationships,
Lakini muda hautoshi, mambo ni mengi!!!
I like You Bro, You got a big heart.Dhana ya ugumu ni pamoja na kuweka mambo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah
Steji unayopitia ni ya muhimu sana. Nakuombea tu uivuke salama [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku ukija Bongo jitahidi tuonane. You are one of a kind. Napenda sana mbwembwe na mapozi yako ya humu bro. I can't imagine swaga zako in real life. I am sure pia una mawazo mapya revolutionary kuhusu business za kisasa na mambo mengine mengi ninayoweza kujifunza kwako. By the way, una ujuzi wa kutengeneza App? Au ni too low for you?