Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii ni kweli jamani au mnatania?BREAKING: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Machi Mosi 2019. Lowassa ambaye alikuwa Mjumbe Mkuu wa CHADEMA alihama CCM na kujiunga CHADEMA, Julai 2015.View attachment 1035415
Duh ! mkono mtupu haulambwiZiro [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
KweliHii ni kweli jamani au mnatania?
Halafu unakuta lijitu lijianaharakati uchwara limetoa mpaka mishipa ya shingo linatokwa na mapovu yanayonuka eti linatetea mwanasiasa wa upande wake.
View attachment 1035418
AseeeeBREAKING: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Machi Mosi 2019. Lowassa ambaye alikuwa Mjumbe Mkuu wa CHADEMA alihama CCM na kujiunga CHADEMA, Julai 2015.View attachment 1035415
Binafsi nimeshangazwa na habari hii,Hii ni kweli jamani au mnatania?
Halafu unakuta lijitu lijianaharakati uchwara limetoa mpaka mishipa ya shingo linatokwa na mapovu yanayonuka eti linatetea mwanasiasa wa upande wake.
View attachment 1035418
Nilivyomuona mvaa kanzu tu! nikajua inabidi kutayarisha popcornAmeamua kurejea wakati nchi inazizima kuwasili kwa marehemu Ruta ili kuzima soo ama? Perfect timing wallahi !!!
View attachment 1035419
Yaani mchezo wa siasa sijawahi kuuelewaNa si ajabu jamaa wakaanza tena kumuita fisadi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1035425
Ameamua kurejea wakati nchi inazizima kuwasili kwa marehemu Ruta ili kuzima soo ama? Perfect timing wallahi !!!
View attachment 1035419