carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Bahati mbaya hii kiki haija kiki maana tuko kwenye msibaAmeamua kurejea wakati nchi inazizima kuwasili kwa marehemu Ruta ili kuzima soo ama? Perfect timing wallahi !!!
View attachment 1035419
Mchezo uliisha pale rost atam alienda kunywa juithi ikuluBaba alipoanza tu kumsifia na kusema mamvi anabusara kina mbowe wamuige na zile safari za feri zisizoisha mchezo ndo uliishia hapo.
Siasa bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepigwa ban ndo maana nimekuja na hii sister yangu, uhali gan lakin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekukamataaa beira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siasa bana unatakiwa usiwe upande wowote hapo utaifaidi sanaKule hakunifai, kwanza hata hilo somo la Siasa huko shule mwalimu alipokuwa anaingia kufundisha mimi nilikuwa naruka dirishani nasepa zangu! Sikuipenda na sitakuja kuipenda Siasa, wanafiki na waongo wakubwa hao!
Nipo poa kabisa. Sasa si ungekuja kigeni ili tuhangaike kukutambuaNimepigwa ban ndo maana nimekuja na hii sister yangu, uhali gan lakin
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba wa kanumba uliniliza maana msiba ulikua jambo geni kwangu ila baada ya hapo hii mingine wala naona kawaida hio ni baada ya kufiwa na ndugu wa karibu miaka minne mfululizo
Nimekuambia wewe tu hiyo iwe siri yakoNipo poa kabisa. Sasa si ungekuja kigeni ili tuhangaike kukutambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu hamnaga siri ujue
Achana na siasa kabisaMchezo uliisha pale rost atam alienda kunywa juithi ikulu
Pole sanaMsiba wa kanumba uliniliza maana msiba ulikua jambo geni kwangu ila baada ya hapo hii mingine wala naona kawaida hio ni baada ya kufiwa na ndugu wa karibu miaka minne mfululizo
Wabhejaaa
Uzuri wa hawa nyuu aidii ni kwamba hawawezi jizuia kumwaga povu na kutukana mwisho wa siku wanagundulika tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu hamnaga siri ujue
[emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaaUzuri wa hawa nyuu aidii ni kwamba hawawezi jizuia kumwaga povu na kutukana mwisho wa siku wanagundulika tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa kwakweli tuwaachie wenyewe tuBaba alipoanza tu kumsifia na kusema mamvi anabusara kina mbowe wamuige na zile safari za feri zisizoisha mchezo ndo uliishia hapo.
Siasa bhana
Sent using Jamii Forums mobile app