Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester City itatumia euro milioni 350 msimu huu wa joto kuimarisha kikosi chake huku meneja Pep Guardiola akiwa na mpangowa kuwasajili wachezaji wanne wa ziada. (Star)
 
Juventus huenda ikasaini meneja wa zamani wa Chelsea, Antonio Conte ikiwa Massimiliano Allegri atawaondokea miamba hao wa ligi ya Serie A msimu huu. (Corriere Dello Sport - in Italian)
 
Mlinzi wa Manchester United na Sweden Victor Lindelof, 24, anasema kuwa aliwaenzi sana kipa wa zamani wa United na UfaransaFabian Barthez alipokuwa akicheza mpira akiwa mdogo japo wakati huo alikuwa akicheza namba 10. (Mail)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…