Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasema "Kelele za chura hazitamzuia Tembo kunywa maji"
Jamiiforum ni chombo cha habari kinachotegemea matangazo ili kijiendeshe, thread hizo pamoja ni hii yetu zinavuta watu wengi na hiyo huwavutia watangazaji kuweka matangazo yao.
Tabiri za aina hiyo zilikuwepo tangu uchanga wa uzi huu, lakini mwaka na miezi kadhaa sasa Uzi una-survive.
Gonga likes ili twende sawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…