Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na mahotelini huko hutakula. Watu wanatemea makohozi kwenye supu sembuse konokono ambaye umeamua kumfakamia mwenyewe bila kulazimishwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Numbisa usitoe siri zingine bhana,,hz chai hz tutaanza kuzikaushia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha et hadi bacteria wake wakuzoee,utakuwa umekula wa kutosha hao bacteria jamanNi muhimu kuwa naye mmoja tu mpaka bacteria wake wanakuwa wamekuzoea. Hata akifanya hizi drama utakuwa OK. Vinginevyo unaweza kupata madhara makubwa
Ushawahio iona movie ya kIhindi ya THREE IDIOTS?Kwa mama ntilie,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza kuwa unakunywa halafu ukiwaza haya mambo[emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta unaishia njiani
Uwiiiiiiiii ndo maana sipendi makongoro yanavyotereza sasa. Ila vya kukaangwa nakula tu teeena sijali maana sijaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mahotelini huko hutakula. Watu wanatemea makohozi kwenye supu sembuse konokono ambaye umeamua kumfakamia mwenyewe bila kulazimishwa?
Muone !!!Huko kwa mama ntilie na mahotelini tunaishi kwa neema tu. Kuna mengi zaidi
Duh aiseee mtu wa karibu anafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone !!!
Sema tu umenikataza matani [emoji36][emoji36][emoji36]
Muone !!Huko kwa mama ntilie na mahotelini tunaishi kwa neema tu. Kuna mengi zaidi
Duh aiseee mtu wa karibu anafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro; kama denda tu mnabadilishana karibu bakteria milioni 3 kwenye konokono itakuwaje? Ndiyo. Kama mmezoeana immune system zenu zinakuwa in sync na hakuna ishu yo yoteHahaha et hadi bacteria wake wakuzoee,utakuwa umekula wa kutosha hao bacteria jaman
Hata makongoro mi sipati shida. Si kohozi limepambana na joto bana. Mi napiga tu. Atajijua na makohozi yake kwa kujichumia dhambi za bureUwiiiiiiiii ndo maana sipendi makongoro yanavyotereza sasa. Ila vya kukaangwa nakula tu teeena sijali maana sijaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone !!!
Wewe ni sample ya case study ya usaliti nikiona denti anafanya utafiti huo nitamuomba aje akuhoji. Yaani umekuja hapa bro bro nikakupokea vizuri na kwa heshima sana na upendo kumbe najiangamiza. Sijui kale kalikupaga nini. Sad [emoji24][emoji24][emoji24]
Esta mkorofi...Muone !!
Eti mtu wa karbu yake anafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naikumbuka hiyo movie,,aisee yule mama alikuwa anasukuma chapati pemben mume wake amelala,kile kisukumio anakipitisha tena kwenye kifuu cha bwana wake hlf anaendelea tena kusukuma chapat aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahio iona movie ya kIhindi ya THREE IDIOTS?
Kweli kabsa,ndio maana wakasema mapenz uchafuBro; kama denda tu mnabadilishana karibu bakteria milioni 3 kwenye konokono itakuwaje? Ndiyo. Kama mmezoeana immune system zenu zinakuwa in sync na hakuna ishu yo yote
Hahaha kwamba lazima upige deki vinginevyo mtu ananunaEsta mkorofi...
Ila kuna wengine wachoyo sana wa chumvi yao. Hawataki iguswe isipokuwa tu kwa koleo. Na wengine uvinza ni must mpaka kesho yake mnagombana nani atoe godoro nje ili kuepuka aibu ya wapangaji.
Acha kabisa ile kitu,unajikuta unahisi umepelekwa Trump kumbe upo hapa hapa ardhi ya bwana stone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone !!
Eti mtu wa karbu yake anafaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana bro,ule ulikuwa ugeni bro,nilikuwa nawaogopa kila nikija nakuta kila mtu yupo busy na mambo yake,,,aisee
Shiro akasema tukomae hapa hapa + Faunda wa TMR mambo yakawa faya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi imebaki history!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeHata makongoro mi sipati shida. Si kohozi limepambana na joto bana. Mi napiga tu. Atajijua na makohozi yake kwa kujichumia dhambi za bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeEsta mkorofi...
Ila kuna wengine wachoyo sana wa chumvi yao. Hawataki iguswe isipokuwa tu kwa koleo. Na wengine uvinza ni must mpaka kesho yake mnagombana nani atoe godoro nje ili kuepuka aibu ya wapangaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mama funga kazi,ningekua mie ningerudisha chenchi ya maana hapoNaikumbuka hiyo movie,,aisee yule mama alikuwa anasukuma chapati pemben mume wake amelala,kile kisukumio anakipitisha tena kwenye kifuu cha bwana wake hlf anaendelea tena kusukuma chapat aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Una uzoefu eeeh !!!Acha kabisa ile kitu,unajikuta unahisi umepelekwa Trump kumbe upo hapa hapa ardhi ya bwana stone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]