Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro bhana,,ndio imeshashindikana tena hyo,,alibahatika hyo hyo 5K
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mama funga kazi,ningekua mie ningerudisha chenchi ya maana hapo
Kiuhalisia lazima itokee hvyo aisee,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bhasi ujue mambo yale kwenye maisha halisi yapo,,,halafu unakuta mtu anasema chapat za yule mama ndio zipo poa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sana. Kuna sehemu bana watu walikua wanapanga hadi folen kusubiria msosi huku jiran na hapo kuna mama ntilie wengi tu ila wateja hawapati
 
Brooo broooo upo vizuriiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lekcha shuin zake kha akagomea hadifenesie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…