Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naikumbuka hiyo movie,,aisee yule mama alikuwa anasukuma chapati pemben mume wake amelala,kile kisukumio anakipitisha tena kwenye kifuu cha bwana wake hlf anaendelea tena kusukuma chapat aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa usinikumbushe nilicheka hapo mahali hadi machozi..yule babu mgonjwa na wale ile chapati walivyopewa 🤣🤣🤣
 
Mshambuliaji wa Real Madrid Muhispania Isco, akiwa na umri wa miaka 26, ''amemkasirikia'' meneja wake Santiago Solari na ameelezea nia yake ya kuwasiliana na Manchester City. (Calciomercato, via Manchester Evening News)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…