Ameen na iwe hivyoNaomba Mungu anifungulie njia zaidi za mafanikio.Na yoyote atakayesoma Hapa.
The Almighty Creator of beautiful things
Hahaha mwenzio karudi way back mlivyokuwa mnabembeleza likes...
Painful ..
Kwema Beef??kina anko wanaendeleaje??
Ameen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1040548
Hahahah ikifika ile sehemu huwa inahitaji moyo kutizamaHahahaa usinikumbushe nilicheka hapo mahali hadi machozi..yule babu mgonjwa na wale ile chapati walivyopewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiiacha ukirudi nyumbani unakakumbukia
Hahaha magic touch
Raha sana ..sisi kina Sapiosexuals tunalukodolea macho tu wakati unatema checheDah! Nimemkumbuka Theresa ghafla [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1040614
Iwe.ya Kheri kwako pia