Jicho kama langu
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MTU mzima atishiwi nyau ujue........
Maskini Kibonde leo ndo usiku wake wa kwanza kulala kaburini peke yake. Alikuwa akilala kitandani ila leo atalala kaburini dah! maisha haya! Mungu atusamehe tu.
"Kul nafsi dhalkatul mauwt"Je wajua kuwa na wewe ipo siku utalala kaburini badala ya kitandani? Hebu Jitafakari unawatendea watu mazuri au mabaya? haya shime chukua hatua anza kutubu sasa. Kaa ukijua kua ipo siku na wewe utalala kaburini peke yako kama unavyolala hapo kitandani kwako.
Hakika...muda siyo mrefu atasahaulika kabisa na maisha yataendelea tuNdo imetoka hiyo. Majumba, magari, pesa, mademu, watoto...vyote tutaviacha. Cha muhimu ni kujaribu kuishi maisha yampendezayo Mungu na kutegemea neema yake ili siku tutakapolala tulale kwa amani. Mengine yote ni kujilisha upepo tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Watu wanene wanapenda sana chakula, yani atakuwa na chakula hata wakati wa kulala [emoji2211][emoji2211][emoji2211]Watu wabaya. Kibonge pizza yake inaparaganyika wala hawamshtui [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1041606
Mkuu si ndiyo maana wamenenepa? [emoji16][emoji16][emoji16]Watu wanene wanapenda sana chakula, yani atakuwa na chakula hata wakati wa kulala [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Homework pulizi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MTU mzima atishiwi nyau ujue........
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha Uchochezi..conspiracy theories
Nilikuwa nafikiri Mnigeria kumbe Mganda...Ni mrembo...
Karibu tu hapo na MwanzaNilikuwa nafikiri Mnigeria kumbe Mganda...Ni mrembo...
FABIOLA (@anitahfabiola) • Instagram photos and videos
Umeamua kumfata hukohuko insta😀Nilikuwa nafikiri Mnigeria kumbe Mganda...Ni mrembo...
FABIOLA (@anitahfabiola) • Instagram photos and videos
What are you implying?Karibu tu hapo na Mwanza
Nothing😁What are you implying?