Aseee, kifo nacho.Ukiangalia sura zao watoto wa Ephraim Kibonde utaona wanawaza vingi sana, huzuni zimewatawala kwani wamepoteza BabaView attachment 1041661
Tena ilikuwa safari ndefu kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Umeamua kumfata hukohuko insta[emoji3]
Kifo shwaiiiniii kabisa yaani...Hali ilivyokuwa kwa watoto wa Ephraim Kibonde baada ya kufika makaburini ili kuweza kumpumzisha Baba yao kwenye makazi yake ya milele.View attachment 1041745View attachment 1041746View attachment 1041747View attachment 1041748