Babu na bibi pia wapo nao wanauwezo wa kuwalea na kuwasomesha kule kwa wathunguKifo shwaiiiniii kabisa yaani...
Hopefully kuna mashangazi na wajomba watakaoweza kuwaongoza vyema. Mungu huwa hakosei [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu na Awasaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Babu na bibi pia wapo nao wanauwezo wa kuwalea na kuwasomesha kule kwa wathungu
MashaallahNdiyo ujifungie nalo Double Tree Hotel wikiendi nzima. Jumatatu wakikukuta mzima inabidi ukatambike [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1041687
Wanasema kuna ajenda ya siri kuangamiza legacy ya watu mashuhuri weusi. Bill Cosby, R. Kelly, M.J na wengine watafuata. Morgan Freeman naona moto umepoa kidogo na pengine atasurvive. Ubaya wa hapa hata wewe Esta ukijitokeza ukasema kuwa fulani ambaye sasa ni mashuhuri aliwahi kukukonyeza mpaka ukajifeel uncomfortable ulipokuwa fomu foo Bwiru Girls Sec basi hiyo inatosha. Yaani mtu anaweza kufukuzwa kazi na kuharibiwa maisha hivi hivi tu kirahisi. Na hii imechangia sana kwa KaYego kuwa kaoga. Hali siyo shwari !!!
Kweli kabisa bro. Kwema lakini?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Unconditional love
View attachment 1041797
Kabisa bro. Kwa msaada wa Mungu all the generational curses can stop...
Ngoja yule jamaa mliyekuwa mnabishana naye siku ile aje aione hii [emoji16][emoji16][emoji16]