Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona unafukua makaburi ya kwini wetu. Halafu umegundua nini kwenye hayo makaburi? Unafikiri ni kwa nini post zake zina 16 likes lakini za wengine zina 6 au 7 tu?

Homework hiyo nimekupa. Usiipuuzie [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna vituko huko nyuma, mtu mmoja Ids kumi na amezitumia zote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna vituko huko nyuma, mtu mmoja Ids kumi na amezitumia zote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]. Hata Mzee Ruta alipogundua mbinu hiyo akaona hata hakuna haja tena ya kujumuika nasi hapa. Mafyekero 10 na yote mtu anayatumia kujirundikia likes. Kazi kweli kweli wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee kweli likes tamu jamani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…