Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

It bothers!kama nadate mtu anaeishi kwao na namchukulia kuwa future mume atawezaje kuhandle situations wakati bado anakula kwa babake
Tatizo hatujui nini tunataka katika mzunguko wa uhai wetu dunia tunekuwa kama hesabu moja jumlisha moja jibu lazima liwe mbili leo ni bora kuliko kesho kwa sababu leo ndio yako kesho ya kizazi chako huna future yako bali watengeneza ya wengine we dream the illusion, jua nini unataka na je huyo uliyenaye anaweza kuyakubali mapungu na matatizo yako na kuyastahimili na wewe vile ila kama uanata kusikia fulani anasema nini hiyo ni juu ya wewe.

mpuuzi mpuuzi tu
 

Umenena vyema
 
Tofautisha WANAUME na WAVULANA, muda wao ukifika wata-make sense tu.... kumbuka YESU hadi leo yupo kwa Baba yake.

Usile Mbegu.

Naongea na wanaume sio wavulana kama unakula ugali wa babako basi haumake sense kwenye huu uzi
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu,je kudate mwanaume anaishi kwao inamake sense???
Sio ujinga angalia na maisha na malengo ya ni kitu cha muhimu kuishi nyumbani hakuna shida wengine wanaishi home mpaka watakapooa ndio wanaruhusiwa kuondoka kwao. Watoto wa matajiri wengi huishi kwao ili waendelee kufundishwa mishe za biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…