Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahaha next thread...mapenzi....[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila mwanaume anayekuja kukaa home kwenu kudate nae ni poa? yaani anahama kwao anahamia kwenu kwenye chumba chako mnapika na kupakua na ndugu zako wapo humo humo
 
Sio ujinga ni uamuzi tu. Wewe kama unampenda utamshawishi ahame kwao.
Mwingine anaishi na bi mkubwa wake tu jumba kubwa akapange kutafuta nini. Na familia nyingine watoto wote walio oa wanaishi kwenye compound 1 hapo nyumban kwao.
 
Usirogwe kuishi hayo maisha ya compound moja wana familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapenzi ni vile unavyoyadifine wewe... mi sioni shida just wherever as long as love exists between the two of them
hata mtu akae chooni !stendi ,kwa shemeji popote
awe gay au msagaji!!!! WATU WANAISHI MAISHA YAO WE UNAUMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…