Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I see, nikajua umezungumzia goli la simba la dk ya 89.

Mzee wangu ni shabiki wa yanga na Arsenal humwambii kitu yani! Sikuwai kushabikia Simba na Yanga kabisaa ila sababu ya mzee wangu, yanga ikifanya vibaya me pia nilikua myonge kiasi chake! Lakini kwa gamu ya jana! Wacha nione napataje membership Simba!!
 

Hayo ndio maneno sasa. Membership ya Simba muone moudgulf: Kadi unaipata ndani ya masaa machache! [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…