Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata sijui tulimkosea nini Mungu hadi akatukabidhi kwa mianasiasa ndio ituongoze
 
Kinachoelezwa ni kwamba kiungo huyo wa Kihispaniola amekuwa kwenye mazungumzo na miamba hiyo ya Ufaransa na huenda akajiunga nayo bure kabisa mwishoni mwa msimu huu kama Man United itafeli kwenye mpango wake wa kumsainisha mkataba mpya.
 
Herrera, atakuwa hana mkataba na Man United mwishoni mwa msimu huu kama hatasaini dili jipya, lakini wabeba hao wa England wanataka staa wao abaki Old Trafford baada ya kuwa kwenye mipango ya Kocha Ole Gunnar Solskjaer.
 
PSG inakoleza moto wake wa kumtaka kiungo huyo ikimpa ahadi ya kumsainisha mkataba unaoanzia miaka mitatu na mshahara wa Pauni 150,000 kwa wiki. Man United ilimnasa Herrera miaka mitano iliyopita akitokea Athletic Bilbao kwa ada ya Pauni 29 milioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…