Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hapana nimekutana nayo mahali, nitakitafutia muda. Umekisoma??Umeshakisoma hichi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamisambwanda, Mgumu kutoka kanda ile ile[emoji16][emoji16] hapo kwenye buffet ikibidi kinukishe tuEti kamanda mkuu. Wa misambwanda labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Habari njema kabisa. Nipo kwenye buffett moja matata sana hapa liwalo na liwe. Sala zenu please [emoji16][emoji16][emoji16]
Buffett nimepakimbia. Ningedhurika [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamisambwanda, Mgumu kutoka kanda ile ile[emoji16][emoji16] hapo kwenye buffet ikibidi kinukishe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiishi kwa upanga kwenye nchi yako omba Mungu ufe mapema, vinginevyo lazima utafia ugenini. Madikteta wengi hapo juu walifia ugenini baada kukimbia kesi nchini mwaoHalafu akaenda kufia Morocco peke yake na kuzikwa huko huko bila shamra shamra wala madoido. Na maalmasi yote yale akayaacha.