Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa kweli hapana labda tu itokee mambo ya dry spell as in simba akizidiwa...ila kwenye haya mambo you never know. Unaweza ukadatishwa na Kakimbaumbau matata mpaka ukashangaa. Kwema lakini huko?Hahaha hizi sio taipu yako kabisa Bro [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumwaga povu yataka moyo hasa kama hujazoea [emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga wanajipanga kumchagua Dr Shika[emoji16][emoji16] Karibu Dr Shika uifanyie mageuzi Yanga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Buffett nimepakimbia. Ningedhurika [emoji16][emoji16][emoji16]
Kanda ile bana ina raha zake hasa ukute TRM yote imekusanyika mbona utapenda?
Kwema.....shikamoo Kaka akeKwa kweli hapana labda tu itokee mambo ya dry spell as in simba akizidiwa...ila kwenye haya mambo you never know. Unaweza ukadatishwa na Kakimbaumbau matata mpaka ukashangaa. Kwema lakini huko?
Itakua umekufurahsha sana!?😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁
Itakua umekufurahsha sana!?😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁
Aisee!?
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji6][emoji16], ati kimbaumbau matata.Kwa kweli hapana labda tu itokee mambo ya dry spell as in simba akizidiwa...ila kwenye haya mambo you never know. Unaweza ukadatishwa na Kakimbaumbau matata mpaka ukashangaa. Kwema lakini huko?