Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watekaji wamelala aisee, ila kabla sijapotea tena nilisikia na wewe umepokonywa nywira kwa mara nyingine tena....Umeachiwa leo?
Aliyekudanganya kwenda Mwanza alaumiwe aisee. Kwema lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mungu bro, hofu kwako😀😀😀😀Salama bro?
Mwenyewe huyu 😂😂😂
Ni mzima pia.Nashukuru Mungu bro, hofu kwako
Hakika imekua vizuri sana mkuuImependeza eh! Mkuu?
Ni jambo jema broNi mzima pia.
Huyu si aliwahi kupiga dili na Ralph Lauren ???Kuna binti mmoja mbongo uswahili umempitia kushoto anaitwa Herieth Paul anaishi New York anavuta pesa ndefu sana na madesigners wakali duniani wanampenda sana kwani yeye ni kupiga mzigo tu ujinga ujinga na uswahili hana hata chembe.
Miye nilichoropoka mapema nikaibuka kininja nikaacha nguo zikiwa zimerowekwa. Karibu tena aisee.Watekaji wamelala aisee, ila kabla sijapotea tena nilisikia na wewe umepokonywa nywira kwa mara nyingine tena....
Kwema bro za siku kadhaa?
Tukizidisha matani tu Esta atakuja kutuchakaza vibaya sana. Tuwe keafu [emoji16][emoji16][emoji16]Mwenyewe huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!!Tukizidisha matani tu Esta atakuja kutuchakaza vibaya sana. Tuwe keafu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app