Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushindi huo unaifanya Liverpool kuongoza ligi kwa pointi 79, wakati mabingwa watetezi Manchester City wakishuka nafasi ya pili na pointi zao 77, huku Spurs ikibaki na pointi zake 61 sawa na Manchester United katika nafasi ya tatu na nne.
 
Liverpool: Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Van Dijk, Robertson, Milner (Fabinho), Henderson (Origi), Wijnaldum, Salah (Lovren), Firmino, Mane

Tottenham Hotspur: Lloris, Alderweireld, Sanchez (Son), Vertonghen, Trippier, Eriksen (Llorente), Sissoko, Alli, Rose, Kane, Lucas Moura (Davies)
 
* Fisi hukimbia umbali mrefu kwa taratibu, we tangulia na spidi 120 yeye atakuja na 30 na atakukuta tuu njiani ukiwa umeanguka either kwa kuishiwa nguvu au misuli kukaza na hapo ndio atafanya biashara yake kwa urahisi, na sifa hii ndio watu husema eti anasubiri mtu adondoshe mkono wala sio kweli, ana akili zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…