Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika pamenifanya nipa hamu sana.Kwa miaka 14 kupita Bukoba nimeikuta vile vile, ajabu mji wenu huo nilipotea kabisa kufika ofisi ya Dc.
Kuna haja ya kumtafuta Nsamaka haraka iwezekanavyo ili mniandalie mazingira rafiki
 
Hahaha huwa nawaona huku nilipo,kuna wale matajiri wa dhahabu,wafabiashara wa dhahabu,,wengi wao ni Wanyantuzu,wana mabinti wazuri na wengi wao weupe wameenda hewani,,harusi zao sio mchezo bro
Hao huku Unyantuzu tunawaitaga "madigala". Hao mbwembwe tu za utajiri lakini hazina uhusiano na Unyantuzu wao. Hata wewe ulivyotajirika na hayo madhahabu siku ukija kufanya harusi pengine mbwembwe ndo zitazidi....
 
Hahah!! Jana Kuna sehemu wadau walikua wanajadiri issue ya Madreva na liquid, basi jamaa mmoja akasema eti "Kumtoa msukuma usukumani ni kazi rahisi ila kutoa usukuma kwa Msukuma ndio mtihani"
Hiyo ni kweli kabisa. Nimeshafika nchi 25+ katika mabara yote lakini kila ninakoenda nikikutana na Wabongo basi mara moja tu wananitambua mi ni Msukuma otomatikale. Ushamba mzigo bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Hata huko US black Americans wana kamsemo eti you can take a nigga out of the hood but you can't take the hood out of the nigga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…