Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika pamenifanya nipa hamu sana.Kwa miaka 14 kupita Bukoba nimeikuta vile vile, ajabu mji wenu huo nilipotea kabisa kufika ofisi ya Dc.
Kuna haja ya kumtafuta Nsamaka haraka iwezekanavyo ili mniandalie mazingira rafiki
Bukoba bwana hasa pale mjini sijui kuna tatizo gani. Namba 2 kwa PhDs na maprofesa lakini miaka nenda miaka rudi kuko vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…