simulizi_tz: Boyfriend wangu wa miezi 6 ana rafiki wa kike wa miaka miwili ambaye anampikia na kumfanyia kila usafi wa ndani kwake mpaka kutandika kitanda japo anamlipa kila mwezi. Amemtafutia kazi kwenye kampuni anayofanyia yeye kama msaidizi wake. Sifurahishwi na urafiki wao japo ananiambia anamchukulia kama Dada yake. Nilimwambia nahitaji nakuonana na yule msichana lakini akanambia atamuomba kama atataka au atajiskia kuonana na mimi. Nimechanganyikiwa kwani siwaelewi na siuelewi uhusiano wao kwani hawana undugu kabisa. Manadhani ananipenda? Na kuna chochote kati yao?
Kuna page inaitwa simulizitz kule insta ina visa vya ajabu vingine unabaki kushangaa haya mambo yapogo kumbeHii hata haieleweki, boyfriend wa miezi sina awe na girlfriend wa miaka miwili mnona bado watoto sana na hawajui chochote
Sent using Jamii Forums mobile app