Hii ina maana mashabiki wanamtaka Mbappe atue Nou Camp kucheza timu moja na Lionel Messi. Gazeti moja la kila siku huko Catalan, Mundo Deportivo ilitoa orodha ya mastaa ambao mashabiki wangependa wasajiliwe katika dirisha lijalo ikiwajumuisha pia Harry Kane, Robert Lewandowski, Antoine Griezmannn na Neymar.