Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kama hii picha imepigwa miaka 12 iliopita basi kuna uwezekano madame wema ana miaka 36.
mkuu na wewe umeshamsoma tabia zake za ndani huyu ahjumma?
Hapana mkuu. Huwa nagonganaga na ishu zake wakati napitia mafaili yanayohusiana na yale mambo yaliyokufanya unishabihishe na kamanda BAK [emoji16][emoji16][emoji16]
 
CAG Prof. Assad: Kimfumo tunaweza kuwa na mgongano wa kikatiba, ripoti imeshawasilishwa kwa Rais na mimi siwasilishi ripoti bungeni, Rais atasababisha ripoti hiyo iende bungeni na kama bunge likikataa kuipokea hilo ni tatizo kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…