[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daktari wa wanawake ameonya dhidi ya kunyoa sehemu za siri eti kama njia moja kudumisha usafi Kulingana na Dkt Ignitius Kibe, Mungu aliumba binadumu awe na nywele hizo anapobalehe kwa sababu kadhaa na pia zina umuhimu sana hasa wakati wapenzi waposhiriki kitendo cha ndoa. Akiwa kwenye mahojiano na runinga ya Citizen Jumatano Machi 27, daktari huyo alisema nywele hizo husaidia sana wakati wa kitendo cha ndoa. Aidha, daktari huyo alisema sio salama kuzinyoa kwani mtu anaweza pata vipele na michubuko kwenye sehemu za siri " Mimi kwangu binafsi napendelea hizo nywele ziwepo, zina umuhimu sana wakati wapenzi wanaposhiriki kitendo cha ndoa," Dkt Kibe alisema. Daktari huyo alisema wale ambao hunyoa nywele hizo wanahatarisha maisha yao kwani ni rahisi kuambukiwa magonjwa ya zinaa
AmeenMungu atupe afya na uzima
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Raha ya kuwa mgumu kama poti Yegomasika hupati shida kama hiziView attachment 1062589ningendako [emoji23][emoji23]sijasema mieee
Nimecheke sana mpaka majirani wananishangaa.Ankoo andjul uwe na jion njemaaView attachment 1062637
Aisee nilikuwa sijampekenyua.Na umejiunga leo hii hii. Safi sana kijana wa Magufuli [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣Ankoo andjul uwe na jion njemaaView attachment 1062637
The lips and tongue for kiss.
Hahahahah ankoooAnkoo andjul uwe na jion njemaaView attachment 1062637
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo niko bize mbaya. Likes zenu mtapata nikitulia. This is a promise [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wozaaa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1062679
Aisee hilo dushe nadhani litakuwa mithili ya chuma.[emoji2][emoji2]View attachment 1062683
Ndio dawa yao.Mwanaume mmoja raia wa Malawi anayeishi Afrika Kusini, amewegeuza watu wawili kuwa nyoka, ambao walimshambulia kwenye vurugu za 'xenophobia' na kuzitaka familia zao wampe randi 200,000 (Tsh. 32,561,148) ili kuwarudisha kuwa watu tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mkuu
Asante.Wafanyakazi poleni
Awesome,kicheko ni afya
Doh..Kuna siku nilinunuaga samaki mchungu huyo.. kumbe ni victimMbinu za kutambua samaki aliyevuliwa kwa mabomu
Mwajuma Mpendu (42) ambaye amekuwa akiuza samaki kwa miaka minne sasa anasema njia za awali za utambuzi wa samaki waliovuliwa ni pamoja na ulegevu.
“Wanakuwa wamelegea na hata ukiwakaanga wanakuwa wachungu,” anasema Mpendu.