Hahaha unatamani uruke ukiamka..
Plane food bwana..
Unabandika ka sticker tu wakuamshe meal.time
🤣🤣🤣 Halafu wewe!hahahahahah huku unaomba Mungu mmoja wa Air hostesses Oooops! Air hostages akuone ili akuonee huruma.
You like the decor?
We must be related
Huyo hostage wako anafuata nini hukuNiambie Fragaria
Dah Yani way umeandika hiyo Jamani!!?
Huyo hostage wako anafuata nini huku